Exodus 20:12-16

12 aWaheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.
13 bUsiue.
14 cUsizini.
15 dUsiibe.
16 eUsimshuhudie jirani yako uongo.
Copyright information for SwhNEN